• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

Kamati ya Siasa Mkoani Ruvuma yafanya Ukaguzi wa Miradi ya Mendeleo Halmashauri ya Mji wa Mbinga

Tarehe ya kuwekwa: January 30th, 2023




Kamati ya Siasa Mkoani Ruvuma yapongeza ujenzi wa mradi  wa kituo cha afya kata ya Myangayanga Halmashauri ya Mji wa Mbinga. Akitoa maaelekezo na shukrani kwa Serikali mara baada ya kupokea ataarifa ya ujenzi wa maradi huo, Mhe. Oddo Mwisho ambae ndie Mwenyekiti wa Kamati ya Siasa Mkoa , amesema maendeleo ya ujenzi wa mradi yanaridhisha na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania           Mhe;  Samia Suluhu Hassan kwa kuleta fedha kwa ajili ya Miradi ya mendeleo katika Halmashuri za Mkoa wa Ruvuma

Katika zira hiyo Mwenyekiti wa kamati ya Siasa na utekelezaji Mkoa, aliambatana na kamati ya Siasa Wilaya ya Mbinga,na wataalamu ngazi ya Halmashauri, ambapo katika zira hiyo Mhe. Oddo Mwisho alishiriki katika zoezi la Upandaji miti ikiwa agizo la Mhe, Rais wa Jamuhuri wa Tanzania katika utunzaji mazingira

Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo kwa kamati ya Siasa Mkoa ni moja kati ya majukumu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM ambapo katika Halmashuri ya Mji wa Mbinga kamati ya Siasa Mkoa na Wilaya walitembelea na kukagua miradi  ya Ujenzi wa Kituo cha afya Myangayanga kilicho pata fedha kiasi cha shilingi milioni 250 kwa majengo ya Opd na Maabara kutoka Serikali kuu.

 Aidha Ujenzi wa Vyumba viwili  vya Madarasa Shule ya sekondari Mkita kuasi cha shilingi Milioni 40 Sambamba na ujenzi wa Mradi shule ya Sekondari Lusonga Kiasi cha shilingi milioni 470 pamoja na kushiriki kupanda miti katika maeneo ya  miradi hiyo.

Hata hivyo  Kamati zote zilipata wasaa wa kutembelea kiwanda cha maji cha Asili kilipo Mjini Mbinga, kianacho milikiwa na mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mbinga Mhe. Joseph Mdaka ambapo wajumbe wa kamati hizo za siasa walipongeza uwekezaji uliofanywa hivyo kutoa rai kwa wanachi kujitokeza kuiga mfano huo na kuanzaisha viwanda vingine kwa kua kuna fulsa ya ziwa nyasa hivyo tukiwekeza katika kiwanda cha samaki, italeta tija fulsa za ajira na kuinua uchumi wa Mji wa Mbinga.  

Na Makangury                           

Matangazo

  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE (SFNA) 2022 January 04, 2023
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Shule sita Halmashauri ya Mji wa Mbinga za jaza Mikataba kunufaika na ruzuku ya Mfuko wa Misitu Tanzania TaFF

    March 23, 2023
  • Wananchi Mtaa wa Lusewa kata ya Luhuwiko Halmashauri ya Mji wa Mbinga waibua Mradi Ujenzi shule ya Msingi

    March 04, 2023
  • DC MBINGA WANAWAKE OMBENI MITAJI KWA WENZIWENU

    March 01, 2023
  • Kamati ya Fedha na Mipango watembelea na Kukagua Shule ya Sekondari Lusonga

    February 27, 2023
  • Tazama zote

Video

DC Mbinga; Miradi itakayao tembelewa na Mwenge iandaliwe mampema
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.