• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MAAFISA HABARI WATAKIWA KUTOA TAARIFA SAHIHI KWA WANANCHI

Tarehe ya kuwekwa: May 23rd, 2025

‎‎Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, ametoa wito kwa Maafisa Habari kuhakikisha wananchi wanapata taarifa sahihi kuhusu kazi mbalimbali zinazotekelezwa na Serikali.

‎

Akizujgumza wakati wa kikao cha Maafisa Habari wa Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa, kilichofanyika katika Ukumbi wa Jiji Dodoma, uliopo kwenye Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma, Mhe. Mchengerwa amesisitiza umuhimu wa jukumu la Maafisa Habari katika kufanikisha haki ya msingi ya wananchi kupata taarifa kwa wakati.  

‎

‎"Maafisa Habari mnayo dhamana kubwa ya kuhakikisha kuwa wananchi wanapata haki yao ya msingi ya kupata taarifa sahihi na kwa wakati," alisema Mhe. Mchengerwa.  

‎

‎Mhe. Mchengerwa amewaelekeza Maafisa Habari kushiriki kikamilifu katika ziara za viongozi, tathmini na ufuatiliaji wa miradi ya maendeleo, hatua ambayo inalenga kuwawezesha kupata uelewa mpana kuhusu kazi zinazotekelezwa na halmashauri ili waweze kuziwasilisha ipasavyo kwa umma.  

‎

‎"Nitoe pongezi kwa Maafisa Habari wa Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya katika kutangaza shughuli za Serikali, hongereni sana na endeleeni kutimiza wajibu wenu, kwani sisi viongozi wenu, kama sehemu ya Serikali, tutaendelea kuwapa ushirikiano," alisema Mhe. Mchengerwa.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAPOKEZI YA FEDHA March 20, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • MAAFISA HABARI WATAKIWA KUTOA TAARIFA SAHIHI KWA WANANCHI

    May 23, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.