• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

Miradi yenye thamani ya shilingi Bilioni 1.4 yatembelewa na kaguliwa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mkoani Ruvuma

Tarehe ya kuwekwa: May 12th, 2023

Timu ya Wataalamu kutoka Ofisi ya Mkoa wa Ruvuma, wamefanya ziara ya Kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga, ikiwemo ujenzi na ukamilishwaji wa vyumba vya maabara, sambamba na ujenzi wa zahanati kwa baadhi ya kata.


Wataalamu hao waliambatana na wataalamu kutoka Halmashauri hiyo wakitokea idara ya Elimu Sekondari, Afya, Mipango , Maendeleo ya Jamii pamoja na Manunuzi ambapo walitembelea Ujenzi na Umaliziaji wa Vyumba vya maabara katika Shule ya Sekondari kilimani kati ilioko kata ya kilimani, Shule ya Sekondari Luhuwiko pamoja na Shule ya Sekondari Lusonga.


Hata hivyo wataalamu hao waliweza kutembelea na kukagua Miradi ya Ujenzi wa zahanati Mahande katika kata Utili huku ujenzi huo ukitumia mapato ya ndani sambamba na nguvu za wananchi.


 Aidha walitembelea Ujenzi wa Kituo cha Afya kata ya Myangayanga  pamoja na Kituo cha Afya Mbangamao katika kata ya Mbangamao, huku ujenzi wa vituo hivyo ukipata fedha kutoka Serikali kuu.


Wataalam hao kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wameridhia namna ya utekelezaji wa miradi hiyo kwa namna ya ufanisi na ubora, sambamba na kutoa maelekezo katika baadhi  ya miradi kwa mapungufu waliyoyabaini huku wakiagiza kuyafanyia marekebisho kabla ya miradi hiyo kukamilika.


 Miradi iliyo tembelewa imeghalimu zaidi ya kiasi cha fedha Bilioni 1.4  kutoka Serikali kuu na zingine kupitia mapato ya ndani ya Halmashauri  katika kukamilisha ujenzi na Ukamilishaji  wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika baadhi ya kata Halmshauri ya Mji wa Mbinga .


Wananchi  wameendelea kumpongeza Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan  kwa kuendelea kuleta fedha kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo Halmashauri ya Mji wa Mbinga katika Sekta ya Afya, Miundombinu ya Elimu, Maji na Barabara, kuwa imekuwa chachu kwao katika kuleta maendeleo.

Na  ofisi ya Mkurugenzi kitengo cha Mwasiliano Serikalini 

                    Halmashauri ya Mji wa Mbinga

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.