• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Mbinga Town Council
Mbinga Town Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MKOA WA RUVUMA WATOA MAFUNZO YA SIKU MBILI UTOAJI CHANJO KWA WATAALAMU WA AFYA NA MAAFISA HABARI

Tarehe ya kuwekwa: September 24th, 2021

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dkt Jairy Khanga alisema lengo la mafunzo hayo ni kuwawewzesha wataalamu wa afya kwenda kutoa huduma za chanjo kwa wananchi kwa kutoa elimu ya kuwaelimisha wananchi umuhimu wa kuchanja.

Dkt Khanga amedai mafunzo ya siku mbili kwa wataalamu wa afya hao watawezeshwa njia na mbinu mbalimbali za kuelimisha jamii pamoja na kupambana na changamoto zitakazopatikana kutoka kwa wananchi kuhusiana na Elimu ya Chanjo ya UVIKO-19..

‘’Wananchi hawana taarifa sahihi kuhusu chanjo ndio maana mwamko wa wananchi katika swala la kuchanja ni dogo hivyo tunatakiwa kuimarisha dhana ya mawasiliano na kuwafanya wananchi wengi waweze kupata tarifa sahihi na kubadilisha fikra potofu walizonazo  na wakubali kuchanja alisema” Dkt Khanga

Hata hivyo aliwataka  watoa huduma za chanjo katika mkoa wa Ruvuma kushiriki mafunzo ya siku mbili ya kujengewa uwezo katika utoaji chanjo katika Halmashauri za Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma kwa lengo la kuwafanya wananchi wahamasike katika zoezi la kuchanja.

Aidha pamoja na mambo mengine alimpongeza Afisa Afya na Mazingira wa Halmashauri ya wilaya ya Tunduru  Ndugu Arnold Herman na Mratibu wa elimu ya afya kwa jamii wa Halmashauri ya wilaya ya Namtumbo Ally Yassin Ndambile kwa kuhamasisha jamii kuhusu kupata chanjo.

William Reuben kiongozi wa timu ya kitaifa ya chanjo katika mkoa wa Ruvuma amewataka washiriki wa mafunzo kuleta matokeo katika kazi watakazotakiwa kwenda kuzifanya ili kutekeleza lengo la Serikali la kuhakikisha wananchi wake wanapata chanjo .

Mada zinazofundishwa katika mafunzo hayo ni mada 8 ambapo kwa siku ya kwanza mada ya Sayansi ya jamii, mawasiliano juu ya chanjo ,mabadiliko ya tabia , utaratibu na usimamizi shirikishi kwa jamii na mada zingine 4 zitafundishwa siku ya pili.

Matangazo

  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KAZI August 07, 2024
  • WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2023 December 14, 2022
  • MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA KIDATO CHA PILI (FTNA) 2022 January 04, 2023
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kheri ya Siku ya Mazingira Duniani

    June 05, 2025
  • Utoaji wa dawa za minyoo na vitamin A kuanza Juni 1 Mbinga Mji

    May 31, 2025
  • MBINGA MJI YAFANYA TATHIMINI YA LISHE

    May 29, 2025
  • MADAKTARI BINGWA WA DKT. SAMIA WAWASILI MBINGA MJI

    May 26, 2025
  • Tazama zote

Video

MAONYESHO YA NANENANE 2023 MBINGA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.