• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara (MMM) |
    • Barua Pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Mji Mbinga

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikao na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Mbinga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi ya Maadili
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Vitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Mipango Miji na Maliasili
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ujenzi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo na Umwagiliaji
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Mawasilianao na Usafirishaji
  • Huduma zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
    • Ofisi ya Mbunge
  • Miradi
    • Inayotekelezwa
    • Iliyotekelezwa
    • Inayotarajia kutekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Sheria ndogo
    • Fomu mbalimbali
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Habari
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha
    • Video
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
  • Shule
    • Shule za Msingi
    • Shule za Sekondari
      • Agustivo High School
      • Dr. Shein Secondary School
      • Makita Secondary School
      • Luhuwiko Secondary School
      • Mbinga Secondary School
      • Mbambi Secondary School
      • Mikiga Secondary School
      • Mbangamao Secondary School
      • Kikolo Secondary School
      • Kagugu Secondary School
      • Ndela Secondary School
      • Ngwilizi Secondary School
      • LAMATA Scondary School
      • Kindimba Secondary School
      • Lusetu Secondary School
      • Depaul Mbangamao Secondary School
      • Mkwaya Secondary School

MWENYEKITI MJI MBINGA AWATAKA MACHIFU KUENDELEZA UMOJA

Tarehe ya kuwekwa: August 19th, 2024


Na Erasto George & Halima Rashid


Mbinga. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Mhe. Kelvin Mapunda amewataka machifu wa Wilaya ya Mbinga kuendeleza umoja na mshikamano.


Mhe. Mapunda alitoa wito huo mwishoni mwa wiki jana alipokutana na machifu wa Wilaya ya Mbinga ofisi kwake.


“Tutandaa utaratibu mzuri ndani ya Halmashauri ili tuone namna ya kuwaalika kwenye vikao vyetu vya baraza," alisema Mhe. Mapunda.


Aliongeza: "Hii itatusaidia  kuleta muunganiko wa pamoja hasa pale baadhi ya mambo yanapohitaji busara za wazee."


Mh. Mapunda aliongeza kuwa ushirikiano utaisaidia Halmashauri kwenda mbele.


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Mbinga Bi. Amina Seif aliwashukuru wazee hao na kuwaomba wazidishe ushirikiano.


“Naomba ushirikiano wenu ili tuijenge Halmashauri yetu. Nawakaribisha sana ofisini kwangu, kwa jambo lolote lile,” alisema Bi. Amina.


Chifu wa wamatengo Wilaya ya Mbinga Bi. Joani Mweghee aliahidi kuwa yeye  pamoja na wasaidizi wake watafanya kazi kwa ukaribu na timu ya wataalamu wa  Halmashauri.

Matangazo

  • KUITWA KATIKA USAHILI October 13, 2025
  • TANGAZO NAFASI ZA KAZI May 25, 2022
  • TANGAZO KWA WAFANYABIASHARA June 04, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI June 13, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MBINGA YAFUNGUA FURSA MPYA ZA UWEKEZAJI

    January 17, 2026
  • MKUU WA IDARA MAENDELEO YA JAMII AHAMASISHA VIKUNDI KUJISAJILI- MBINGA MJI

    January 15, 2026
  • MAFUNZO YA MFUMO WA MANUNUZI WA UMMA NA MATUMIZI YA MODULI MPYA KWENYE MFUMO WA NeST KWA MAKUNDI YA VIJANA, WANAWAKE, WAZEE, WATU WENYE ULEMAVU NA WAZABUNI

    January 15, 2026
  • NAIBU WAZIRI KWAGILWA ARIDHISHWA NA UJENZI WA BARABARA YA UTIRI, MBINGA MJI

    January 11, 2026
  • Tazama zote

Video

MKUU WA WILAYA YA MBINGA AHITIMISHA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA
Video Zaidi

Muunganiko wa Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Mbinga District Council Website
  • Tunduru District Council Website
  • Madaba District Council Website
  • Nyasa District Website
  • Namtumbo District Website
  • Songea District Council Website
  • Songea Municipal Website

Tovuti zinazohusiana

  • NECTA
  • TAMISEMI
  • AJIRA
  • WATUMISHI PORTAL
  • NACTE
  • PREM

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Maeneo

Halmashauri ya Mji Mbinga

Wasiliana nasi

    MBINGA

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 135

    Simu ya Mezani: +225 - 2640664

    Mobile: 0733216557

    Barua pepe: td@mbingatc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faraga
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki