Tarehe ya kuwekwa: June 30th, 2018
Mkuu wa wilaya ya Mbinga Ndg. Cosmas Nshenye amefungua rasmi msimu mpya wa uuzaji wa zao la Kahawa Wilayani Mbinga tarehe 29/06/2018. Katika ufunguzi huo Mhe. Mkuu wa wilaya alieleza kuwa msimu huu um...
Tarehe ya kuwekwa: June 7th, 2018
Mwenge wa Uhuru Kitaifa Katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga umepita katika Miradi 9 yenye thamani ya Tsh 894,859,357.00/= miradi hiyo ni pamoja na Mradi wa Mashine ya Kusaga na Kukoboa Nafaka –Kimuli ...
Tarehe ya kuwekwa: May 16th, 2018
Serikali imefuta katazo la awali lililokuwa likizuia zao la Mahindi kuuzwa nje ya Nchi. Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri mwenye dhamana katika kikao cha Bunge la bajeti kinachoendelea Mjini Do...