Mradi ya ujenzi wa vyumba vya Madarasa katika shule ya Sekondari ya Luhuwiko unaendelea vizuri na leo tarehe 06/05/2017 Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa Ndg, Amour Hamad Amour ameweka jiwe la msingi la ujenzi huo. Taarifa a Mradi huo inapatikana kwa kuingia hapa.
MRADI WA VYMBA VYA MADARASA-LUHUWIKO.pdf
MBINGA
Sanduku la Barua: P.O.BOX 135
Simu ya Mezani: +225 - 2640664
Mobile: +225 – 2640664
Barua pepe: td@mbingatc.go.tz
Copyright ©2021 MBINGA TOWN COUNCIL . All rights reserved.